Mahakama imetengua ubunge wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya CCM Mhe. Aeshi Hillal hivyo kuanzia sasa jimbo hilo lipo wazi kwa ajili ya uchaguzi mwingine kama ilivyo kwa jimbo la Arusha mjini (Habari hii ni kwa mujibu wamtandao wa Francis Godwin mzee wa matukio)
No comments:
Post a Comment