Toka kushoto ni Bi Sifaeli Choma , yeye alibeba kibuyu kilichokuwa na udongo wa Tanganyika na kumkabidhi Mwl. Nyerere; Katikati ni Bw Omar Hassan Mzee, huyu alibeba chungu kilichotumikika kuchangaya udongo wa Tanganyika na Zanzibar, wa mwisho kulia ni Bi Khadija Rajabu yeye alibeba kibuyu kilichokuwa na udongo wa Zanzibar, na kumkabidhi mwalimu.
No comments:
Post a Comment