Thursday, March 8, 2012

MATUKIO KATIKA PICHA .. SIKU YA WANAWAKE ILIVYOADHIMISHWA KATIKA CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AGUSTINO - SAUT - MWANZA...


 

Kikundi cha Wamasai.. kikitumbuiza katika siku ya mwanamke duniani.  SAUT Malimbe Mwanza
 


Wwanajumuiya wa SAUT waliokusanyika katika ukumbi wa M10, katika maadhimisho ya siku ya mwanamke Duniani

Makamo  wa rais wa serikali ya wanafunzi SAUT- SAUTSO, Bi Anna Mushi
 

Mama Nathania , mlezi wa wanafunzi akitoa nasaha zake

Mabinti kutoka shule ya Loreto sister waki-perfom shairi lao la lugha ya kiingereza kuelezea ujasiri wa mwanamke

No comments: