Uhaba wa maji katika maeneo kadhaa katika jimbo la Arumeru Mashariki na katika taifa kwa ujumla ni miongoni mwa kero ambazo wagombea wa vyama mbalimbali vinavyoshiriki kampeni za uchaguzi mdogo jimboni humo,wamekuwa wakiahidi kuupatia ufumbuzi.
Hali hii huenda ikapelekea kuendelea kuzalisha vijana ambao suala la elimu kwao litakuwa kwao litabakia kuwa ni namna ya kwenda kutafuta maji sehemu za mbali.
Changamoto hizi wagombea wanania ya kweli kuzitatua.
Watoto wakisafiri kwa punda kutafuta maji katika
kijiji cha Ngongongare, jimboni humo,jana
No comments:
Post a Comment