Waziri wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Prof. Makame Mbarawa
Akiongelea suala la usitishwaji wa matangazo ya Televisheni kwa kutumia Technolojia ya analogi na kuhamia teknolojia ya utangazaji ya dijitali ambao utasitishwa rasmi tarehe 31 Disemba mwaka 2012 saa sita kamili usiku.
No comments:
Post a Comment