Friday, April 17, 2015

AJALI HAZITAISHA KWA STYLE HII

 Ikiwa madereva wetu wataona hii ndio aina pekee ya uendeshaji wa magari, taifa hili litaendelea kulia na ajali.
Leo tunaambiwa tayari ajali mbili zimetokea,  hii ni leo pekee na bado ni asubuhi,  kuna maisha ya watu wengi leo yamepotea ama yanatarajiwa kupotea leo tena,  watu zaidi ya 900 wameshafariki hawa wa leo inaongezeka idadi tena,  tunaelekea wapi kwa kupoteza huku maisha.
Tusitafute mchawi wa ajali,  mchawi anaishi, anasafiri nasi pia





No comments: