Wednesday, January 29, 2014

WALIODAIWA KUWA WAANZILISHI WA CCJ, WALIO NDANI YA CCM WATAJWA LEO ...

Kwa hisani ya Dotto Bullendu
RICHARD KIYABO AMBAYE ALIKUWA MWENYEKITI NA MWANZILISHI WA CHAMA CHA CCJ,AMBAYE BAADA YA CHA KUKWAMA KUPATA USAJILI ALIAMUA KURUDI CCM TAREHE 17.10.2010,LEO KATIKA UKUMBI WA HABARI MAELEZO JIJINI AMEONGEA NA WAANDISHI WA HABARI NA KUWARUSHIA MAKOMBORA NAPE MNAUYE,SAMWELI SITTA NA PAULO MAKONDA KUWA WALIKUWA WAASISI WA CHAMA CHA CCJ,NA MPAKA SASA WANA KADI ZA CCJ NA CCM KWA PAMOJA!KIYABO AMESEMA KUWA MPAKA SASA SITTA,NAPE NA MAKONDA WANA KADI YA CCJ NA AMEITAKA CCM IWAFUKUZE KWA SABABU ANAUSHAHIDI KUWA WANA KADI ZA CCJ.
KATIKA WARAKA WAKE ALIOUSOMA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI KIYABO AMEORODHESHA MAJINA YA WAANZILISHI WA CCJ,AMBAO WALICHANGIA PESA KUHAKIKISHA CHAMA KINAANZA NA KUINGIA KATIKA MBIO ZA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2010,LAKINI KIKASHINDWA KUPATA USAJILI.WALIOTUHUMIWA NA KIYABO HII LEO KUWA NI WAANZILISHI WA CCJ NA WALISHIRIKI KIKAO CHA KWANZA NA KUTOA MICHANGO, NI SAMWELI SITTA,Dr Harrison MWAKYEMBE,Lucas SELELI,MZEE KAYOMBO,VICTOR MWAMBALASWA,FRED MPENDAZOE,JAMES LEMBELI,ANNA KILANGO Malecela,AMINA KATEMI,ALEX KISUMO,BAKARI SEIF,SOSPETE BANYIGWA,SALEH OMAR,SARAH PATRICK,DANIEL MWAIBINJEL,Dr Ngonyani,Elisha Elia,Emanuel Mganja,Asima Watosha,Paulo Makonda,Kurwa Lumelelwa,Ahmad Maduhu,Fraviana Nkya,Gulam,Hamad Fereji,Ally Horoun,Moasoud Kangi,Gumbo,Iddi Kiliwe,Ino makala,Kisherura,Jacob Msambi,Joseph Kashindye,Kamalang"ombe,Nape Mnauye,Daniel Malongo!

No comments: