Monday, November 25, 2013

ANATAFUTA HIFADHI

Huyu mama anaitwa JOSEBA MOSES ana umri wa miaka 38, MAELEZO YAKE BINAFSI NI HAYA ...Anatafuta hifadhi, ni mwenyeji wa Mwanza, ingawa amesahau ni wapi walipokuwa wanaishi miaka hiyo, kwani kuna kipindi aliondoka Mwanza. Anasema wazazi wake wamefariki na hajui walikozikwa.

Hakutoa nambari za simu, ingawa alipelekwa kituo cha REDIO SAUT mchana wa leo na dereva boda boda, KAMA una maswali kuhusu hao watoto ni watoto wake, na huo mfuko ndio mzigo wa nguo pamoja na vifaa vyao kadhaa...

No comments: