Sunday, September 22, 2013

KILICHOTOKEA KINAHUSISHWA NA ALSHABAAB KIMAHESABU


Tarehe ya shambulia yaani tarehe 21 Mwezi Septemba ndiyo tarehe ambayo majeshi ya kenya yaliingia nchini Somalia kupambana na vikundi vya waasi nchini humu, hii ni kwa mujibu wa mchambuzi wa masuala ya usalama nchini kenya...msikilize hapa katika mahojiano na BBC


SAUTI YA MCHAMBUZI GEORGE MUSA

MBUNGE WA ENEO LA WAJIA LINALOPAKANA NA SOMALIA
Huyu ni askari kanzu baada ya kujeruhiwa tumboni

MSIKILIZE KATIBU WA MASUALA YA USALAMA KENYA

CHANZO CHA SAUTI ZOTE BBC SWAHILI

No comments: