Tuesday, September 3, 2013

IBAADA MAALUMU IMEFANYIKA HIVI PUNDE MKOANI MTWARA, KATIKA KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA TANGU AFARIKI DAUDI MWANGOSI

IBAADA HIYO imefanyika nje ya ofisi za Mtwara Press club, karibu na chuo cha mtakatifu Augustine tawi la Mtwara (STEMUCO), ibaada hiyo iliongozwa na Askofu wa jimbo la kusini mashariki la KKKT , Askofu Lucas Mbedule, ambaye aliambatana na msaidizi wake.

ASKOFU LUCAS MBEDULE


Mwenyekiti wa Mtwara Press club, HASSAN SIMBA, wwakati akitoa neno la shukurani.
No comments: