Monday, August 5, 2013

YALIYOJIRI MWISHO WA JUMA MKOANI MTWARA, MBUNGE ASNANI MURJI ALIFUTURISHA WAISLAM WENZIE


 
 Baadae Mbunge alianza kugawa futari yeye mwenyewe
 Kadhi wa mkoa wa Mtwara , akitoa neno 
 Mbunge wa Mchinga Saidi Mtanda, akiwa na Mbunge wa Mtwara Mjini Murji, wakati wakifuatia neno la kadhi Mkuu
 Neno la shukurani kwa waliohudhuria futari hiyo, Said Mtanda , alizungumza kwa niaba ya Murji
 Neo la Mbunge na wanahabari
 Meya wa kwanza wa manispaa ya Mtwara (wa pili kutoka kulia) hapa akiwa na wanahabari
 Baadae, Shahd Murji , akaongoza utoaji wa "Misuli na vibaragashia" kwa waliohudhuria

Picha zote na Mpiga picha wa blog hii.

No comments: