Tuesday, August 6, 2013

KILO MBILI ZA BHANGI ZAKAMATWA MKOANI MTWARA HAPO JANA

Kilo mbili za bhangi zanaswa mkoani Mtwara, aliyekamatwa nazo ni mkulima HASSAN SAID (28) mkazi wa mkalango na rafiki yake HAMZAR OMARY (19) hawa ni wakazi wa Mkalango, amekamatwa nazo chumbani kwake wakati amelala na rafiki yake… hii ni kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa polis iwa mkoa wa Mtwara Linus SINZUMWA.

No comments: