Friday, July 5, 2013

YUNA KANDA YA ZIWA WAKAMILISHA KONGAMANO LAO LEO

KIKUBWA KWA SIKU MBILI HIZI ...ilikuwa ni kuangazia mafanikio ya malengo ya millenia (MDG's) ingawa bado muda mchache kufikia kiwango kile ambacho ulimwengu ulijiwekea .....
 Bwana Hussein Melele, Kiongozi wa ngazi ya kitaifa YUNA Tanzania...katika mahojiano na Star Tv
 Mwakilishi wa YUNA kimataifa...huyu anatokea Kenya...naye alijumuika...hapa ni katika mahojiano na Star TV
 Hapa ni Meza kuu , wakifuatilia muwasilishaji mada
 Kushoto ni Bwana Baraka, alikuwa katibu katika kongamano hilo...kulia ni Bwana Hussein Melele, ambaye alikuwa mkuu wa itifaki katika siku ya mwisho.
 Viongozi wa meza kuu wakiweka mambo katika digitali
 Hapa ni washiriki bora wa kongamano hilo..hawa wametokana na mada ambazo wamewasilisha...hapa wakiwa na meza kuu

KISHA BURUDANI...TAZAMA MWENYEWE...picha ya mwisho...mshiriki akionesha ujuzi katika karateNo comments: