Sunday, July 7, 2013

UNAJUA WANACHOSEMA WATANZANIA BAADA YA MTOTO WA RAIS KIKWETE KUPIGA PICHA AKISALIMIANA NA PRESIDENT OBAMA?..MUONEKANO WA PICHA HIZO KWENYE UKUTA WA RIDHWANI....
  
 
ALICHOJIBU YEYE KWENYE UKUTA WAKE WA FACEBOOK HIKI HAPA...
SWALI kwako mdau wa blog....ikiwa President Obama, alikuja na wanae wawili hapa Bongo akisafiri nao kwa pesa za wamarekani.... kuna ubaya huyu wa kwetu ambaye yupo hapo hapo kwenye nyumba nyeupe...asiende japo kumsalimia President?

No comments: