Sunday, May 26, 2013

FAINALI ZA FAWASCO 2013.... PR 3 NDIO WASHINDI...

Haya ni mashindano ya michezo mbali mbali, ambayo hufanyika yakihusisha wanafunnzi wa SAUT Mwanza. FAWASCO , ndio ligi kubwa zaidi, yenye donge nono zaidi ukilinganisha mashindano mengine ya aina hiyo katika vyuo vikuu hapa Tanzania.
Katika mpambano wa leo, ambao ndio ilikuwa ukihitimisha mashindano hayo, yanayofanyika kwa mara ya 13 tangu kuasisiwa kwake, uliowahusisha SHERIA mwaka wa 2 na MAHUSIANO YA UMMA , PR 3. Mpambano huo umemalizika kwa ushindi wa goli 1 kwa wana PR , na hivyo kujinyakulia shilingi Million 20, huku wanasheria wakichukua nafasi ya pili na kitita cha shilingi Millioni 15, mshindi wa tatu .... amejipatia shilingi Millioni 8.
MGENI RASMI, Dkt Kitima wakati alipowasili

"Mkuu hii ndio Ratiba yetu..." Kulia ni Fr Maziku , 

MC Chilwa, akiongoza shughuli ya leo

 UKAGUZI WA TIMU....
PICHA YA PAMOJA.... Mgeni rasmi Dkt Kitima , wakati alipopiga picha ya pamoja na wachezaji wa timu  zote mbili yaani PR 3 na Sheria 2

NENO KWA UFUPI, kutoka kwa mgeni rasmi. Kulia kwako na makamu mkuu wa chuo taaluma, Dkt Mukamwa

CAPTAINS na waamuzi wakibadilishana  mawazo kabla ya mpambano

VILIVYOKUWA VINAWANIWA ndio hivi hapa

MEDIA 

Kipute ... winga wa Wansheria , akiumiliki vyema mpira

Hauendi mpira .......

Utamu wa kabumbu.... mshambuliaji wa wanamasoko PR3... akiumuliki na kumtoka beki wa wanasheria

HAPA MAMBO YAKAELEWEKA.... Mshambuliaji wa wanamasoko PR3 Mwamengo Lugano .. akishangilia goli lake pekee na la ushindi
Shangwe zaidi..


WANAUSALAMA....hapa wakimsindikiza Mwamuzi wa mpambano huo

 SHANGWE ZINAENDELEA ..... baada ya ushindi PR 3 walijimwaga dimbani kusherehekea MILION 20  kwa kuwa washindi wa kwanza wa FAWASCO 2013
 MASHUHUDA wa shughuli ya leo
 KOMBE HILI HAPA..... pamoja na kombe hili, PR (Mahusiano ya umma ama Masoko)  wamejinyakulia kitita cha shilingi za kitanzania Milioni 20.

WAKATI WA MAPUMZIKO...... shughuli hii ndio iliyokuwa inaendelea ......

BAADA YA YOTE HAYO IKAFUATA SHOW KALI..... KUTOKA KWA MSANII HUYU WA BONGO FLEVA...anaitwa Sheta..... muda mfupi uliopita amekamilisha onesho lake hiloNo comments: