Friday, January 4, 2013

KULEKEA NYUMBA YA MILELE YA MSANII WA FILAMU SADICK JUMA KILOWOKO "SAJUKI"


Waombolezaji wakiwa wamelibeba jeneza lenye mwili wa "Sajuki"
Dua
Sehemu ya waombolezaji
Mwili ukiondolewa nyumbani kwake Tabata.
PICHA na Blog ya Michuzi

Apumzike kwa amani...

ALICHOKISEMA ZITTO KABWE
Leo twaenda kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele ndugu yetu Juma (Sajuki). Tumwombe mungu ampe nguvu dada yetu Wastara akabili mtihani huu.

Like ·  ·  · 5 hours ago via BlackBerry · 

No comments: