Wednesday, January 9, 2013

KAMA UNAPENDA MAHUBIRI YA MWAKASEGE, HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA LEO


Bwana Yesu Asifiwe!!
Mtume Paulo alijua tafsiri ya muda wake aliokuwa amepewa kuishi ulimwenguni. Hilo lilimwezesha kuutumia muda ule kutekeleza malengo ya Mungu katika maisha yake. Wewe je- malengo uliyonayo kwa mwaka huu yanalingana na malengo ya Mungu kwa ajili yako kwa mwaka huu?

Mstari wa kukumbuka leo;
Wafilipi 3:13-14
Ndugu sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika;ila natenda neno moja tu;nikiyasahau yaliyo nyuma, nikiyachuchumilia yaliyo mbele;nakaza mwendo,niifikilie mede ya thawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika Kristo Yesu.

Philippians 3:13-14
Brothers, I do not consider myself yet to have hold of it. But one thing i do;Forgetting what is behind and straining toward what is ahead, I press on toward the goal to win the prize for which God has called me heavenward in Christ Jesus.
Mungu awabariki.
Like ·  ·  · 10 minutes ago · 

No comments: