Sunday, November 11, 2012

MMMMMHHHH!!!! HII NDIO RAMANI YA MAJENGO YA CCM MJINI DODOMARais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Dk. Jakaya mrisho Kikwete akiwasili eneo la Makulu,Dodoma kwenye sherehe za kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa ukumbi na ofisi za makao makuu ya chama.


MCHORO , hii ni ramani ya ukumbi wa mikutano wa kimataifa na makao makuu ya CCM
Ukumbi wenyewe ndio utakuwa hivi..

CHANZO PICHA , CCM blog

No comments: