Tuesday, October 16, 2012

MPYA ZAIDI CCM MWANZA NI DIALO.... MABINA APIGWA CHINI


BREAKING NEWZ
Msimamizi wa uchaguzi wa M/kiti wa CCM mkoa wa Mwanza,Mh. William Lukuvi,punde tu,amemtangaza Dr. Antony Diallo, kuwa ndiye mwenyekiti mpya wa CCM mkoa wa Mwanza,akimbwaga aliyekuwa m/kiti Clement Mabina kwa tofauti ya kura 400..


No comments: