Thursday, September 6, 2012

KUNA MDAU AMEZIANDIKA HIZI KATIKA FACEBOOK UKURASA WAKE

FAIDA 12 KUISHI BILA YA MPENZI
1.Unalala vizuri 

2.hujali unavyoonekana 
3.hakuna sms usiku wa manane 
4.unaweza kuongea na yeyote 
5.utaishi maisha marefu bila ya kubugudhiwa na mtu yeyote. 6.utaepukana na fitina za watu 
7.utaepukana na ugomvi usio wa lazima 
8.vigumu kuzini. 
9. hufumaniwi 
10. utatulia kimawazo 
11. hutakuwa mwenye kudanganyana 
12.utajihisi uko huru kwenye maamuzi yako.

No comments: