Thursday, July 12, 2012

HALI YA BARABARA JIJINI MWANZA JANA MCHANA, HIZI NI PICHA 11

JIJINI Mwanza jana hali ya barabara ilitatizika katika eneo la VOIL... ambapo kwa taribani saa zima hakuna gari lilokuwa linaingia wala kutoka katikati ya jiji. Tatizo hili limeanza kuchukua umaarufu kwa wiki kadhaa sasa , kutoka na marekebisho ya barabara umbali usio fikia hata robo kilometa.
Wiki chache zilizopita ziliripotiwa taarifa za daladala, kugongwa na treni eneo hilo hilo... ambapo hapo reli hukatiza, cha kushangaza hiyo jana palikuwepo wanausalama wa barabarani, takribani wanne ambao blog hii iliwaona, ingawa aliekuwa anashughulika na msongamano huo wa magari alikuwa mwanausalama mmoja tuu.... wengine walikuwa wanapiga dili za kukagua leseni... ukiangalia vyema utaona baadhi ya picha wanausalama wameonekana..


No comments: