Saturday, June 9, 2012

TOTO AFRICA YA MWANZA YATOKA SARE 1 - 1 NA TIMU YA CHUO CHA SAUT MWANZA

Mnamo dakika ya 31 ya mchezo , huku  SAUT ikimiliki vyema mpira iliweza kuijpatia bao la kuongoza kupitia kwa HASAN alipomuhadaa golikipa wa TOTO AFRICA iliyokuwa imesheheni  wachezaji kutoka timu ya YANGA, KAGERA SUGER ,
Dakika ya 90, timu ya TOTO AFRICA iliweza kupata bao lakusawazisha , baada ya mchezaji *MAN OF THE MATCH * EMMA SWITTA , kupitisha pasi nzuri kwa IBRA MAMBA , ingawa goli hilo lilimsababishia lawama Refarii  wa mchezo huo, kwa kuwa wengi walidhani tayari dakika za mchezo huo zilikuwa zimemalizika.

Aidha katika mchezo huo makamo mkuu wa chuo cha SAUT (St Augustine),  Fr Charles Kitima , aliahidi kuidhamini timu ya chuo kucheza na MABINGWA WA TANZANIA BARA , Simba Sports club, na pia amesema ili kuboresha michezo hapa nchini  Serikali haina budi kuwekeza katika michezo..
Photo

Photo

Photo


Photo

Photo

Photo


Mfungaji wa goli la SAUT , HASAN  akigangwa baada yakuumia

No comments: