MDAU VICTOR RICHARD KATIKA FACEBOOK.... KUHUS MTOTO RUKIA
SALAMU NA SHUKRANI MAALUM KWENU Namshukuru mwenyezi Mungu kwa kunipa ujasiri wa pekee wa kuwahabarisha watu juu ya maisha ya mtoto RUKIA anayeteseka ktk familia duni baada ya kuungua moto wilayani RUANGWA-LINDI.Macho ya Mungu yamepitia kwangu,hakiaka yeye ni mwenye huruma.Najua mumeguswa,mumeumia,mumesikitshwa na munah...uzunika sana.Haya ndiyo maisha ya mwanadamu.Nawaombeni sana muzidi kuwa karibu nami tusaidiane tatizo hili.Nawashukuru uongozi na wafanyakazi wa EAST AFRICA TV kwa kueneza habari kwa jamii,sijatoa hata sarafu moja kueneza habari za mtoto huyu,Blogers wanaosambaza habari hizi.Wadau wanaochangia kwa maombi,pesa,ushauri n.k. Kumbukeni mtoto anaendelea na matibabu St.WALBURG'S HOSPITAL NYANGAO LINDI.Mchango unapokelewa m pesa 0755 754494/Tigo 0715 754494 MUNGU AWAZIDISHIE PALE MULIPOPUNGUZA. AMEN
No comments:
Post a Comment