Monday, June 11, 2012

KUELEKEA MITIHANI YA VYUO VIKUU WADAU WANATOA MAONI NA USHAURI


MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA UNAPOJIANDAA NA MITIHANI YA MWISHO (UNIVERSITY EXAMINATION)
1.KUWA MAKINI NA MATUMIZI YA SIMU KWANI HUPUNGUZA UMAKINI(kuchati,facebook na matumizi yote ya simu yasiyo na lazima?)
2.Hakikisha una Amani na kila Mtu na Usijaribu Kukwazana na watu kwani ni Fimbo kubwa sana "MJUE SANA MUNGU UWE NA AMANI NDIVYO MEMA YATAKUJIA"Ayubu22:21
3.HAKIKIKISHA SEHEMU ZOTE AMBAZO ZILILETA SHIDA WAKATI WA TEST TUNAZIFANYIA KAZI
3.KUWA NA MUD AMZURI WA KUTAFAKARI WEAKNESS AKTIKA MASOMO NA KUOMBA MUNGU AKUSAIDIE
4.MUHIMU KULKIKO YOTE HAKIKISHA MAHUSIANO YAKO NA MUNGU YAKO VIZURI NA KAMA KUNA KITU CHA KUCHUNGA BASI NI MIANYA YA DHAMBI KWA KIPINDI HIKI KUWA MTU WA SALA NA MAOMBI NA SHUKRANI NA KUTOA SADAKA SANA KWA MUNGU MASKINI NA WATU WENGINE
5.HAKIKISHA MAHUSIANO YAKO NA WAZAZI/WALEZI YAKO SAWA KWANI IPP LAANA KUBWA JKAMA HUJAKAA VEMA NA WATU HAO.
NAWATAKIA MAANDALIZI MEMA NA MUNGU WANGU AISHIYE NA AKUJAZI BARAKA NA UFAHAMU UNAPOYATEKELEZA HAYO NA TUPENDANE KWA DHATI NA KUOMBEANA ZAIDI TUSAIDIANE SANA MASWALI KABLA YA MUDA WA UE
 ·  ·  · 11 hours ago near Dar es Salaam, Tanzania

No comments: