Saturday, June 9, 2012

CCM JANGWANI - DAR ..LEO.. MWAKYEMBE ATOA NAMBA YA SIMU LAIVU

JJANGWANI , JIJINI DAR ES SALAAM,,,, Viongozi na wanachama wa CCM walikutaa leo kwa ajili ya mkutano wa hadhara..... ambapo kauli mbalimbali za viongozi wake zilitolewa......
Waziri WASIRA : alisema matatizo ya kupanda kwa bei za vyakula , pamoja na vitu vingine na mfumuko wa bei, wanavijua na wanachofanya ni kuangalia namna bora ya kuviondoa..
Waziri TIBAIJUKA : alisema hawezi kubomoa kiholela nyumba za watu lakini itakapopidi, zitabomolewa
Waziri MWAKYEMBE : kwanza shukrani kwa wananchi kwa kumuombe,,,,,,  baadae akasema watu wa daladala wanajipandishia nauli... amesema yeye pia alilipishwa 1500... kutoka Mwenge mpaka mitaa ya bunjuuu.... amesema atachelewa kwenda bungeni... mpaka ahakikishe amekomesha tabia hiyo.... KALI ZAIDI ametoa namba ya simu ... ukitozwa nauli isiyohalali mtwangie hapaaaaa....... 0782 24 25 26
Picture
UPANDE MWINGINE KULIKUWA HIVIIII...JE ??????

No comments: