Sunday, May 13, 2012

ZITO KABWE BAADA YA BENK KUU KUWEKA TAARIFA KWENYE MTANDAO -(hiki ni kwenye facebook account ya Zitto)

Hatimaye Benki Kuu wamekiri makosa, wameweka Taarifa kwenye mtandao.
Wamelazimika kufanya kazi Jumapili kufuatia Taarifa niliyoisambaza leo asubuhi kuwataka waweke taarifa hizo wazi haraka' Benki Kuu msirudie tena uzembe huu.

CCM, dont touch our Bank. Your statement today was outragous
CCM statement is outrageous. Is Mwigulu answering on the part of the Bank? And the release of the reports today gives the lie to the statement

No comments: