
Hili ndilo kanisa lilochomwa moto huko Zanzibar

Gari la Kiongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Bishop Dickoson Maganga lililochomwa moto na watu wasiojulikana usiku wa jana katika eneo la Kariakoo nje ya kanisa hilo ambapo uharibifu wote unaelezwa kuwa umegharimu shilingi millioni 120

Wanausalama
CHANZO ZANZIBAR YETU
No comments:
Post a Comment