Friday, May 11, 2012

MBEYA .. KATIKA SHUGHULI ZA KUUWASHA MWENGE.....

WAZIRI MKUU PINDA AWASHA MWENGE WA UHURU ... ASEMA...

“Harakati zozote za kuleta mabadiliko ni lazima zizingatie amani na usalama wa wananchi yawe ya tija na manufaa…..
Dawa za kulevya ni janga la kitaifa kwa kuwa vijana wetu wengi wanaathirka..”
Gonjwa la ukimwi bado ni tishio... tahadhari ziendelee kuchukuliwa..."
Asisitiza wananchi wajitokeze kutoa maoni yao katika Sensa mwezi Agosti

BAADHI YA MATUKIO KATIKA PICHA (photo: mzee wa matukio blog)

            Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda(kulia) akimkabidhi Kiongozi wa Kitaifa wa
           Mbio za Mwenge wa Uhuru Captain Erenest Mwanossa ,mwenge wa Uhuru leo
           mjini Mbeya tayari kwa kuanza mbio kwa ajili ya mwaka 2012

                                                    Kikundi cha sanaa cha SIMBA MACHEZO.

No comments: