Thursday, May 3, 2012

MBATIA 'AULA" UBUNGE WA KUTEULIWA...
Rais Kikwete akiwa na James Mbatia, siku uongozi wa NNCR ulipoenda ikulu.
                                                                 Profesa Sospeter Muhongo


Bi Janeth MabinaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wabunge watatu wapya kwa mujibu wa mamlaka ya uteuzi aliyo nayo chini ya Ibara ya 66(i) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Wabunge hao wapya ni Profesa Sospeter Muhongo, Bi. Janet Mbene na Bwana James Mbatia.

Uteuzi huo unaanza mara moja.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.Dar es Salaam.
3 Mei, 2012

 

No comments: