Na Charles Abel
Ligi kuu ya Uingereza imetoa makipa 13 kwenye vikosi mbalimbali vitakavyoshiriki michuano hiyo. Ifuatayo ni orodha ya makipa hao huku mataifa na vilabu vyao vikiwa kwenye mabano.
Lukasz Fabianski(Poland/Arsenal)
Wojciech Szczesny(Poland/Arsenal),
Petr Cech(Czech Republic/Chelsea)
Michel Vorm(holland/swansea)
Tim Krul(holland/newcastle)
Thomas Sorensen(denmark/stoke city)
Anders Lindegaard(denmark/manchester united)
Pepe Reina(hispania/liverpool)
De gea(hispania/manchester united)
Shay Given(jamhuri ya ireland/aston villa)
Keiren Westwood(jamhuri ya ireland/sunderland)
John Ruddy(england/norwich)
Joe Hart(england/manchester city)
No comments:
Post a Comment