Monday, May 14, 2012

CCM JANA WALITANGAZA UTEUZI WA MAKATIBU WAKUU WAPYA WA CHAMA NGAZI YA WILAYA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa iliyokutana tarehe 12/5/2012 chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mambo mengine ilifanya uteuzi wa Makatibu wa CCM wa Wilaya kama ifuatavyo:-

(1) Ndugu Grayson Mwengu

(2) Ndugu Abdallah M. Hassan

(3) Ndugu Ernest Makunga

(4) Ndugu Mgeni Haji

(5) Ndugu Innocent Nanzabar

(6) Ndugu Nicholaus Malema

(7) Ndugu Mercy Moleli

(8) Ndugu Michael Bundala

(9) Ndugu Elisante G. Kimaro

(10) Ndugu Zacharia Mwansasu

(11) Ndugu Eliud Semauye

(12) Ndugu Habas Mwijuki

(13) Ndugu Loth Ole Nesele

(14) Ndugu Charles Sangura

(15) Ndugu Donald Magessa

(16) Ndugu Fredrick Sabuni

(17) Ndugu Janeth Mashele

(18) Ndugu Daniel Porokwa

(19) Ndugu Zongo Lobe Zongo

(20) Ndugu Mwanamvua Killo

(21) Ndugu Joyce Mmasi

(22) Ndugu Simon Yaawo

(23) Ndugu Epimack Makuya

(24) Ndugu Amina Kinyongoto

(25) Ndugu Asia S. Mohammed

(26) Ndugu Venosa Mjema

(27) Ndugu Augustine Minja

(28) Ndugu Elly H. Minja

(29) Ndugu Ernest Machunda

(30) Ndugu Selemani Majilanga

(31) Ndugu Christina Gukwi

(32) Ndugu Joel Kafuge Mwakila

Vituo vyao vya kazi watapangiwa baadaye.

(CHANZO..CCM BLOG)

No comments: