Thursday, May 31, 2012

ALICHOKIANDIKA ... MTATIRO WA CUF- KWENYE AKAUNTI YAKE YA FACEBOOK JANA

Julius Mtatiro
MSIBA, MSIBA.

MWENYEKITI WA PILI WA CHAMA CHA WANANCHI CUF MZEE MUSOBI MGENI AMEFARIKI DUNIA LEO SAA 2.30 USIKU. TAARIFA ZIMETUFIKIA PUNDE BAADA YA KUFARIKI HUKO MKOANI MWANZA. RATIBA ZA MAZISHI NA TARATIBU ZINGINE ZA MAINS ZITAJULISHWA KUPITIA KWA KURUGENZI YETU YA HABARI.

No comments: