Sunday, March 18, 2012

WAPIGA KURA MUHIMU , AMBAO WAGOMBEA WETU HUWATAZAMA ....

                           Hapo sasa ndo huchelewi kusikia "shikamoo" mpiga kura
Mgombea ubunge jimbo la Arumeru Mashariki kupitia CCM, Bw, Sumari,
akimsalimia mtoto mdogo aliekuwepo katika kampeni zake  jana jumamosi March 17.

Wazee wa Arumeru Mashariki waliofika katika kampeni za CCM.

No comments: