Thursday, August 2, 2012

MPYA KUTOKA BUNGENI LEO HII......

Spika Makinda..KAMATI ITAKAYOCHUNGUZA TUHUMA DHIDI YA WAJUMBE WA KAMATI YA NISHATI NA MADINI HII HAPA.....
1. BRIG, GEN , HASANI NGWILIZI (mwenyekiti), 
2. JOHN CHILIGATI, 
3. RIZIKI OMARY JUMA, 
4. SAIDI AMUR ARFI 
5. GODBLESS BLANDESI, 
Kamati hiyo imepewa muda wa wiki mblii.. kukamilisha shughuli hiyo.....

No comments: