Mkuu wa wilaya Ndugu Wilman Ndile, akifafanua jambo mbele ya wananchi alipofanya nao mkutano wa hadhara |
Wananchi wakimsikiliza mkuu wa wilaya |
Hapa inadaiwa bomu la machozi lilitua |
Ustaadhi.... akiwa na mkewe pembeni ya vyombo vilivyoathiriwa kwenye vurugu hizo |
Mama Mwajuma Ismael, akiwa na mwanae ...mama huyu anadai mumewe amekamatwa na amewekwa ndani ingawa hakuhusika .. wakati wa tukio alikuwa maelala |
Mzee huyu akiwa pembeni ya vyombo vyake ambavyo anadai vilipigwa marungu na askari |
Mzee Hasani Chinemba ambae ni mlemavu , alipata kichapo japo makofi kidogo , ingawa wakati wa tukio yeye anasema alikuwa amelala ndani ya nyumba yake |
Hivi ni baadhi ya vyombo vya ndani vilivyo athiriwa na vurugu hizo... inasemekana polisi walivipiga marungu |
Idrisa Bandali , wa Info radio, mwenye shati jekundu, akipiga mchapo na makarani wa sensa |
Mwenyekiti wa kiji cha Nambeleketela, tarafa ya ziwani akifafanua jambo baada ya mkuu wa wilaya kuzungumza |
Mkuu wa wilaya akizungumza na mdau mmoja wa makarani wa sensa waliopoteza simu |
Mwadada, Jamila , karani wa sensa alipozungumza na mkuu wa wilaya akifafanua kupotelewa simu yake |
Mdau akitwanga swali lake kwa mkuu wa wilaya |
Wazee wa kijiji... pamoja na swaumu kali...wanamsikiliza Mkuu wa wilaya |
No comments:
Post a Comment