Utambuzi unaendelea.. mwananchi akiutazama mwili wa marehemu kujaribu kumtambua
PICHA ZOTE NA BLOG HII
STORY KIDOGO HAPA
Kijana mmoja ambae hakufahamika jina lake mara moja...
ameokotwa ufukweni mwa bahari ya hindi, eno la feri mkoani mtwara akiwa
amekufa.... Mashuhuda wanasema mtu huyo si mkazi wa eneo hilo na yawezekana
amekufa baada ya kupigwa na kutoswa baharini ...na watu ambao hawajafahamika,
Hii ni kutokana na majeraha aliyokuwa nayo mwilini mwake , wakati mili wake
ulipookotwa.... Taarifa rasmi hazijatolewa na mamlaka husika juu ya chanzo
cha kifo cha huyo ...lakini yasemekana AMEKUFA MAJI.....POLISI WANAENDELEA NA UCHUNGUZI KUHUSIANA NA TUKIO HILI... |
No comments:
Post a Comment