ZISIKILIZE SAUTI ZA MAJERUHI NILIOFANYA NAO MAHOJIANO KWA NJIA YA SIMU.... TAFUTA PALIPOANDIKWA UNABOFYA UNASIKILIZA HAPA...UPANDE WAKO WA KULIA UNAPOSOMA ..
AU GUSA HAPA KUSIKILIZA
AJALI NYINGINE NI HUKO MKOANI PWANI ...
Mzimu wa ajali za barabarani wazidi kulitesa Taifa baada ya ajali mbaya ya juzi huko mkoani Tabora iliyopelekea vifo vya watanzania 17 na wengine 78 kujeruhiwa ,watu wengine zaidi ya wanne wameripotiwa kufa na wengine zaidi ya 15 kujeruhiwa vibaya baada ya ajali mbaya kutokea eneo la Makole/Wami mkoani Pwani katika barabara kuu ya Chalinze - Tanga asubuhi ya leo
No comments:
Post a Comment