Sunday, July 8, 2012

UNAJUA WAACHOSEMA WADAU BAADA YA MECHI YA WABUNGE JANA....

Ona walivyokuwa wanaserebuka washindi wa Mechi hiyo... ni wabunge wa Simba

MAONI YA MDAU
.....Tanzania Zaidi ya Uijuavyo..Pamoja na Madaktari Kugoma, Wagonjwa kukosa Huduma na Wengine Wengi kufariki kutokana na Mgomo bado jana Wabunge wetu wa Vyama Vyote wakaona bora wakacheze Mpira Taifa, Hii nawaambia ni TZ tu wengine serious hawawezi kufanya hayo madudu huku watu wanakufa! ASIKIAYE NA AFAHAMU..!!
 ·  · 

No comments: