DUH...!MADAKTARI wametangaza Kuanza Tena MGOMO kesho...yaani Kuanzia sa 6 USIKU....duh!POLENI Wagonjwa maana VIFO vitaongezeka....Tuombe SERIKALI yetu ITATUE Matatizo yao na IKAONGEE nao na ikibidi hata BUNGE lihairishwe na Nguvu zote Wazipeleke KUTATUA hili TATIZO Kabla ya SAA 6 USIKU....maana likibaki hivi TUTEGEMEE kuongezeka kwa VIFO Mahosipitalini
No comments:
Post a Comment