Thursday, June 14, 2012

TAZAMA WADAU WANAVYOFUATILIA BUNGE KWA MAKIINI SANA ... HAPA NI MWANZA , JIONI HII

MUHUTASARI
Shuguli za maendeleo zatengewa sh trilion 5 sawa na asilimia 30
Matumizi ya kawaida yatengewa trillioni 10 sawa na asilimia 70
Sigara, bia zapanda bei......

Hapa ni waziri Mgimwa alipowasili na Koba lenye Bajeti ya serikali  kwa mwaka wa fedha 2012/2013...katika viwanja vya bunge.

MWANZA SASA... ILIKUWA HIVI WAKATI BAJETI IKISOMWA


 Mdau Odero na Chamlomo nao wanafuatilia hapa

No comments: