Sunday, June 17, 2012

MHARIRI WA GAZETI LA JAMBO LEO AFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO

Marehemu Willy Edward Ogunde, enzi ya uhai wake

REST IN PEACE MTAALUMA... ULIKUWA NJIA KWA WENGI.....

KUTOKA FACEBOOK WADAU WANAMLILIA
Its so hard 2believe that You r No Mo!
Maisha Haya Jamani!
One Day U r here,Next u r Gone!
R.I.P WILLY EDWARD!
Nimeumia sana!Mhariri wa Jambo Leo, Willy Edward amefariki usiku wa kuamkia leo.Alikuwa rafiki wa wengi,asiye na makuu.

Nenda Willy, Ondoka....

Lakini ndugu mbona hata hukuaga?


No comments: