Thursday, June 14, 2012

MCHANA HUU MWANZA: ALIETUHUMIWA KWA WIZ APIGWA MAENEO MABATINI ,

Wasamaria wema wamfikisha kituoni, kituo kidogo cha polisi Pamba
Huenda harakati za kusaka maisha ndizo zimempelekea kijana huyu ambae hakufahamika jina lake mara moja kupigwa na wananchi wenye hasira kali kwa tuhuma za wizi
Picha na Ayoub Mapunda

No comments: