Tuesday, June 12, 2012

KENYA KUPATA KOCHA WA KIGENI KUIFUNDISHA HARAMBEE STARS

Na Mdau, Kelvin Migongo wa Nairobi Kenya (Kupitia Facebook page yake)

Mwenye kiti wa shirikisho la kandanda nchini F.K.F amesema kuwa mabadiliko kweye uongozi wa timu ya taifa yanahitajika kwa dharura.

Kocha wa sasa wa Harambee Stars

Akizungumzia wana habari jana alasiri,Nyamwea amedai kuwa kuna wachezaji wa tajriba lakini wakufunzi hawamakiniki.Nduru za kuaminika ni kuwa kuna mkufunzi wa nchi ya kigeni ambaye anatarajiwa kuchukua mahala pake Francis KImanzi.afanye kweli ama asifanye kweli dhidi ya Togo maamuzi yasha fanywaa.

Nyamwea aliongezea kwa kusema ,asipo fanya mabadiliko kwa sasa huenda wakenya wakamulaumu kwa ni wote wanaimani ya kwenda Brazil 2014

No comments: