Friday, June 22, 2012

KELVIN YONDANI NDANI YA UZI WA NJANO LEO

Mchezaji mpya wa timu ya mpira wa miguu ,Yanga, Kelvini Yondani, hatimae leo ameanza rasmi mazoezi na timu yake mpya akitokea Simba sportsclub (mabingwa wa VPL) baada ya sakata la utata wa uhalali wake yeye kuhamia kwa kile kilichoelezwa kuwa bado alikuwa na mkataba na timu yake hiyo ya zamani.

No comments: